TANGAZO LA ZABUNI YA ULINZI LA TAREHE 15/05/2024.
Arusha Meat Co.Ltd kupitia kamati ya Manunuzi inakusudia kufanya mchakato kwa ajili ya kupata kampuni ya ulinzi. Tangazo hili limetolewa Kuanzia tarehe 15/05/2024 hadi tarehe 28/05/2024, Kampuni zote za ulinzi zenye nia na uwezo wa kufanya kazi, pakua maelezo ya ZABUNI HII HAPA CHINI.