+255 734 026 766 arushameatcompany@yahoo.com

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI (READVERTISED)

Arusha Meat Company Limited ni Kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria za Makampuni ndani ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya kujishughulisha na huduma ya uchinjaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo. Aidha Kampuni hii pia huchakata nyama kwa ajili ya kutengeneza bidhaa mbalimbali.Arusha Meat Co. Ltd inakaribisha waombaji wenye sifa kujaza nafasi mbalimbali zilizo wazi kama ifuatavyo:

× How can I help you?